Wakimbizi Warohingya wakabiliwa na hali mbaya katika mpaka wa Bangladesh na Myanmar+PICHA
TEHRAN (IQNA)-Wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wakisambaziwa misaada katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh. Wakimbizi wametoroka jimbo la Rakhine nchini Myanmar ambako wanakabiliwa na maangamizi ya umati.