Matokeo ya awali ya mashindano ya 17 ya taifa ya Qur'ani Tukufu nchini Kuwait katika taaluma za tajwidi na hifdhi ya Qur'ani yalitangazwa jana katika kikao kilichohudhuriwa na Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa nchi hiyo.
2013 Oct 28 , 20:19
Mwanaharakati wa kisiasa wa Kuwait Hamoud Mubarak al Azmi ametoa wito wa kufikishwa mahakamani watu waliotenda jinai ya kuchoma moto nakala ya kitabu kitukufu cha Qur'ani katika msikiti wa eneo la Salimiyya nchini humo.
2013 Oct 22 , 20:40
Kituo cha Uhakiki wa Kiislamu cha al Azhar nchini Misri kimetahadharisha juu ya kuwepo Qur'ani na Hadithi zilizopotoshwa katika baadhi ya mitandao ya intaneti na mitandao ya kijamii.
2013 Sep 25 , 19:00
Sheikh Mahmoud Amin Tantawi ambaye alikuwa miongoni mwa maqarii wakubwa wa Qur'ani alifariki dunia jana mjini Cairo.
2013 Sep 18 , 19:20
Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Qur'ani Tukufu cha Taasisi ya Wakfu na Masuala la Kheri cha Iran amesema kuwa, mahafali 420 ya kuwa na mapenzi na ukuruba na Qur'ani Tukufu yatafanyika katika pembe mbalimbali za Iran yakiwashirikisha maqarii 8 bingwa wa Misri na yataendelea katika siku zote za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
2013 Jul 15 , 15:34
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa mwongozo wa Qur'ani na mtindo wa maisha ya Kiislamu vinapaswa kutawala katika jamii ya Kiislamu.
2013 Jul 11 , 15:49
Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amesema Iran iko tayari kusambaza nakala milioni moja za Qur'ani baina ya Waislamu katika nchi mbalimbali duniani.
2013 Jul 07 , 23:03
Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran yanatazamiwa kuanza mjini Tehran katika Ukumbi Mkuu wa Sala wa Imam Khomeini.
2013 Jul 02 , 21:18
Mkuu wa Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefungua rasmi Mashindano ya 30 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yanayofanyika Iran ambapo amesisitiza kuhusu utekelezwaji maamurisho ya Qur’ani Tukufu na kuongeza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nchi pekee duniani inayotekeleza maamurisho ya Qur’ani Tukufu.
2013 May 31 , 21:53
Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu nchini Zimbabwe kinaonyesha tafsiri na tarjumi ya Qur'ani Tukufu kwa lugha mbalimbali katika maonyesho ya vitabu yanayofanyika nchini humo.
2013 Apr 18 , 13:57
Kundi la vijana wa Kisaudi Arabia limefanya maandamano katika mji wa al Qassim likilaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika jela ya wafungwa wa kisiasa ya al Hair.
2013 Apr 18 , 13:55
Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu nchini Zimbabwe kinaonyesha tafsiri na tarjumi ya Qur'ani Tukufu kwa lugha mbalimbali katika maonyesho ya vitabu yanayofanyika nchini humo.
2013 Apr 18 , 13:55
Kongamano la nane la kimataifa la Qur'ani Tukufu litafanyika mjini London, Uingereza chini ya usimamizi wa Kitivo cha Utafiti wa Masuala ya Mashariki na Afrika (SOAS).
2013 Mar 30 , 17:09