IQNA

Umrah 1445

Hafla ya kuwaaga Wairani wanaoenda Umrah baada ya miaka tisa +PICHA

Siku ya Jumapili, idadi kubwa ya waumini waliondoka Tehran kuelekea mji mtakatifu wa Madina ikiwa ni hatua ya kurejeshwa ushiriki wa Wairani katika ibada ya Umrah baada ya kusitishwa kwa miaka tisa kutokana na sababu mbali mbali. Kulingana na mipango, zaidi ya Wairani 5,000 watashiriki katika ibada ya Umrah katika mwezi wa Hijri wa Shawwal.

Kishikizo: umrah 1445