IQNA

Kuwait ya Yazindua Kituo cha Qur'ani cha Wasichana

TEHRAN (IQNA) – Kituo kipya cha Qur'ani kimefunguliwa kwa ajili ya washichana wenye umri wa miaka 15 hadi 19 katika mji wa Fahad al Ahmad mkoa wa Al Ahmadi...

Tafsiri mpya ya Qur'ani Tukufu yazinduliwa katika ofisi za IQNA

TEHRAN (IQNA)- Tafsiri mpya ya Qur'ani inayojulikana kama 'Tafsiri ya Shams' imezinduliwa katika ofisi za Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA)...
Dar al-Ifta ya Misri

Inajuzu Waislamu kuwapongeza Wakristo katika Siku Kuu ya Krismasi

TEHRAN (IQNA)- Huku Wakristo wakikaribia kusherehekea uzawa wa Nabii Isa AS (Yesu) katika siku ya Krisimasi na pia mwaka mpya Miladia, Taasisi ya Dar al-Ifta...

Washindi wa Mashindano ya Qur'ani Tunisia Watangazwa

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari Maalumu
Waislamu Nigeria wakumbuka mauaji ya Zaria

Waislamu Nigeria wakumbuka mauaji ya Zaria

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria wanakumbuka mauaji ya umati yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya wafuasi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria...
14 Dec 2018, 11:12
Usajili wa Mashindano ya Qur'ani ya Dubai

Usajili wa Mashindano ya Qur'ani ya Dubai

TEHRAN (IQNA)- Usajili umeanza kwa wanaotaka kushiriki katika duru ya 20 ya mashindano ya kimataifa ya Dubai nchini UAE ambayo rasmi yanajulikana kama...
12 Dec 2018, 10:20
Uislamu ni dini pekee inayolinda haki zote za binadamu

Uislamu ni dini pekee inayolinda haki zote za binadamu

TEHRAN (IQNA)- Washiriki wa warsha iliyofanyika hivi karibuni nchini Pakistan wamesema Uislamu ni dini pekee ambayo imeangazia kila kipengee cha maisha...
11 Dec 2018, 15:19
Mauaji Ndani ya Msikiti Afrika Kusini

Mauaji Ndani ya Msikiti Afrika Kusini

TEHRAN (IQNA)- Mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa nje ya msikiti katika mtaa wa Springs, mji wa Ekurhuleni eneo la East Rand mkoani Gauteng Afrika Kusini.
08 Dec 2018, 14:03
Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Algeria

Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Algeria

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 20 ya Wiki ya Qur'ani Tukufu nchini Algeria imefanyika huku kukitolewa wito wa kuhakikisha watoto wanajifunza Qur'ani.
07 Dec 2018, 11:00
Baraza la Haki za Binadamu UN lataka mauaji ya Khashoggi yachunguzwe

Baraza la Haki za Binadamu UN lataka mauaji ya Khashoggi yachunguzwe

TEHRAN (IQNA)- Kamishna MKuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kubaini mhusika...
05 Dec 2018, 16:25
Mtoto wa miaka 7 Uingereza amehifadhi Qur'ani kikamilifu

Mtoto wa miaka 7 Uingereza amehifadhi Qur'ani kikamilifu

TEHRAN (IQNA)- Mtoto wa miaka 7 kutoka mji wa Luton nchini Uingereza amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ikiwa ni katika kufuata nyayo za dada yake ambaye...
04 Dec 2018, 10:47
Kongamano kuhusu changamoto za tarjuma ya Qur'ani lafanyika Morocco

Kongamano kuhusu changamoto za tarjuma ya Qur'ani lafanyika Morocco

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa kuhusu changamoto katika kazi ya tarjuma ya Qur'ani limefanyika Casablanca, Morocco hivi karibuni.
02 Dec 2018, 11:19
CNN yamtimua mchambuzi wake ambaye ameunga mkono haki za Wapalestina

CNN yamtimua mchambuzi wake ambaye ameunga mkono haki za Wapalestina

TEHRAN (IQNA) Kanali yaTelevisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mchambuzi wake wa muda mrefu kwa sababu ya kukosoa ukatili na udhalimu wa utawala haramu...
01 Dec 2018, 11:31
Picha