iqna

IQNA

mtume saw
Makala
IQNA-Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
Habari ID: 3478135    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

Mawaidha
IQNA-Amani iwe juu yako Ewe Fatma Zahra mwanamke bora wa duniani na Akhera, Bibi wa wanawake wa peponi, Mtukufu as-Sidiqah at-Tahirah Fatimatuz Zahra (Salaamullahi Alayha). Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki maalumu kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.
Habari ID: 3478046    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

TEHRAN (IQNA) - Leo ni tarehe 27 Rajab kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Qamaria na katika siku kama ya leo miaka 1454 iliyopita, Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad Mustafa SAW alibaathiwa yaani kupewa Utume na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3472593    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/22

Mtume SAW amesema: Watu watakaokuwa karibu zaidi nami na watakaostahiki zaidi Shifaa yangu katika Siku ya Qiyama ni wale ambao ni wakweli, waaminifu, wenye akhlaqi njema na waliokaribu zaidi na watu. Wasail al-Shia, Juz. 8, Uk. 514.
Habari ID: 3471280    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/25

TEHRAN (IQNA)-Wataalamu wa akiolojia wamegundua mji wa kale wa Kiislamu ambao ulikuwa kituo cha kibiashara zaidi ya miaka 1,000 iliyopita
Habari ID: 3471024    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuwafuata sawasawa Maimamu maasumu AS ni kuwafuata kivitendo watukufu hao na kudumisha mapambano dhidi ya ukafiri na unafiki.
Habari ID: 3470867    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/24

Hongera kwa munasaba wa kuanza mwezi wa Rabiul Awwal, machipuo ya uhai
Habari ID: 3470707    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/01

IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku na leo imeghariki kwenye huzuni na majonzi kwa kukumbuka siku aliyoaga dunia Bwana Mtume Muhammad SAW na aliyokufa shahidi Imam Hassan Al-Mujtaba AS.
Habari ID: 3470703    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/28

IQNA-Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar, inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3470701    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/27

Tarehe 11 Mfunguo Pili Dhil Qaada ni siku ya maadhimisho ya kuzaliwa Imam Ali bin Musa ar-Ridha AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470520    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14

Mahakama ya Rufaa ya Mauritania imeidhinisha hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi aliyemvunjia heshima Mtume Muhammad (saw).
Habari ID: 3470263    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23