iqna

IQNA

kenya
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wametangaza kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina hasa baada ya hujuma ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel
Habari ID: 3473986    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/07

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya jana waliandamana katika mji mkuu, Nairobi na kubainisha uungaji mkono wao kwa Wapalestina ambao wanakabiliwa na hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Habari ID: 3473907    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/14

TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa mji wa Lamu katika pwani ya Kenya wamejumuka na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.
Habari ID: 3473120    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi umefunguliwa baada kufungwa kwa miezi mitano kufuatia kuibuka janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473087    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20

TEHRAN (IQNA) – Kenya inatekeleza mkakati wa kuwa kituo na kitovu cha huduma za kifedha katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati mwa Afrika.
Habari ID: 3473061    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/12

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Kenya imetangaza kuwa maeneo ya ibada yatafunguliwa tena nchini humo lakini kwa sharti la kuzingatia kanuni na sheria maalumu za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472938    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07

Taarifa ya Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina (KPSM) imetoa taarifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds na kusisitiza kuwa Wapalestina wanakabiliana na virusi viwili hivi sasa.
Habari ID: 3472792    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/22

Corona Afrika Mashariki na Kati
TEHRAN (IQNA)- Huku ugonjwa wa corona au COVID-19 ukiendelea kuenea barani Afrika, nchi za bara hilo zinachukua hatua za kuzuia maambukizi zaidi.
Habari ID: 3472630    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/03

TEHRAN (IQNA) – Misikiti kadhaa muhimu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imefungwa kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.
Habari ID: 3472580    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/19

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia katika mji wa Nairobi, Kenya umefungua milango yake kwa wasiokuwa Waislamu kuutembelea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwaka wa 94 wa ujenzi wake.
Habari ID: 3472187    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/26

TEHRAN (IQNA) - Maafisa 10 wa polisi wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika kaunti ya Wajir, katika eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3472002    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/15

TEHRAN (IQNA)-Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya ambaye ameshiriki katika Mashindano 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amesema mashindano hayo yanaimarisha umoja baina ya Waislamu.
Habari ID: 3471920    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/18

Mwanafunzi wa Kenya aliyeshika nafasi ya kwanza
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya kiwango cha juu sana ikilinganishwa na mashindano mengine yote duniani, amesema Abdulalim Abdulrahim Haji kutoka Kenya ambaye ameshika nafasi ya kwanza ya mashindano ya kuhifadhi Qur'ani maalumu kwa wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3471917    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/15

TEHRAN (IQNA) – Katika tukio ambalo limetajwa kuwa la kihistoria na la aina yake nchini Kenya, msikiti umejengwa katika sehemu ilimokuwa imejengwa kanisa baada ya askofu wa kanisa hilo kusilimu na wafuasi wake.
Habari ID: 3471849    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/22

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamelaani vikali uamuzi wa Mahakama ya Kilele kuidhinisha marufuku ya vazi la Hijabu katika shule nchini humo huku baadhi ya viongozi wakiwataka wasichana Waislamu wapuuze uamuzi huo.
Habari ID: 3471823    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/28

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab Jumanne walihujumu hoteli ya kifahari mjini Nairobi, Kenya na kuua watu 21.
Habari ID: 3471808    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/16

TEHRAN (IQNA)- Mfuko mkubwa zaidi wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni umezinduliwa nchini Kenya na kupewa jina la Salih.
Habari ID: 3471736    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/10

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Kenya wanaendelea na maombolezo ya mwezi Muharram katika kukumbuka kuuhawa Shahidi Imam Hussein AS na wafuasia wake katika jangwa la Karbala.
Habari ID: 3471672    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/16

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kumteua mwanadiplomasia asiyekuwa Mwislamu kuwa balozi wa nchi hiyo Saudi Arabia.
Habari ID: 3471620    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/05

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kwanza ya Kuhifadhi Qur’ani Maalumu kwa ajiliya Waalimu wa shule katika mji wa Nairobi yamefanyika.
Habari ID: 3471613    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31