Mahakama ya Russia imetangaza kuwa, ni marufuku nchini humo kuonyeshwa filamu iliyotengenezwa Marekani ambayo inamtusi na kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
2012 Sep 29 , 14:53
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran amesema kuwa waliotengeneza filamu inayomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW) wamekerwa na jinsi Uislamu unavyoendelea kukua na kusambaa kwa kasi kote duniani.
2012 Sep 29 , 14:50
Baada ya kusambaratika Shrikisho la Sovieti, nchi za Magharibi ziliutaja Uislamu kuwa tishio kubwa zaidi kwao.Kwa msingi huo nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kukabiliana na wimbi la kuenea Uislamu zimeanzisha mradi wa chuki dhidi ya Uislamu ambao ulishika kasi baada ya matukio ya Septemba 11 mwaka 2001.
2012 Sep 29 , 14:44
Kongamano la nane la Ukurubishaji wa Madhehebuya Kiislamu ambalo limeandaliwa na Kituo cha Kiislamu cha Uingereza limepangwa kuanza leo Jumamosi mjini London.
2012 Sep 29 , 14:23
Muungano wa Jumuiya za Kiislamu za Hispania (UCIDE) jana Ijumaa ulitoa taarifa ukilaani vikali vikatuni vilivyochapishwa na jarida la nchi hiyo la El Jueves kwa lengo la kumdhalilisha Mtume Mtukufu (saw).
2012 Sep 29 , 14:13
Ahmad Ismail al-Hariri, mtengeneza filamu wa Misri amesema kuwa hatua za mwanzoni za kutengeneza filamu ya al-Widaa ambayo itajibu filamu iliyotenegenezwa na Wamarekani pamoja na Wazayuni kwa lengo la kumdhalilisha mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) zimekamilika.
2012 Sep 29 , 13:59
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kubadilishwa mfumo wa kusimamia dunia.
2012 Sep 27 , 11:06
Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa filamu iliyoutusi Uislamu ambayo imezusha hasira na malalamiko makubwa ya Waislamu kote duniani inaivunjia heshima pia Marekani lakini wakati huo huo amedai kuwa, serikali ya Washington haiwezi kuzuia usambazaji na kuonyeshwa kwake!
2012 Sep 26 , 17:39
Viongozi wa nchi za Kiislamu wanaoshiriki katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wamezitaka nchi za Magharibi kukomesha propaganda chafu zinazowatisha Watu kuhusu Uislamu na kuvunjia heshima matukufu ya dini hiyo.
2012 Sep 26 , 17:19
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa umoja wa umma wa Kiislamu unaoonekana kupitia kwa Mtume Mwisho Muhammad SAW na chuki na hasira za Waislamu wote dhidi ya kambi ya ubeberu vinapaswa kudhihirishwa katika ibada ya Hija ambayo ni kituo cha mkusanyiko wa Waislamu kutoka maeneo mbalimbali duniani.
2012 Sep 25 , 05:09
Mwanamke Mwislamu ameteuliwa kuwa waziri wa utamaduni nchini Norway na hivyo kuwa Mwislamu wa kwanza kuteuliwa kuwa waziri katika nchi hiyo ya Skandinavia.
2012 Sep 25 , 05:05
Mamia ya Wafilipino wameandamana nje ya Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Ufilipino, Manila kulaani kutengenezwa filamu inayomvunjia heshima Mtume SAW huko Marekani.
2012 Sep 25 , 05:05
Wanawake Waislamu nchini Brazil wataruhusiwa kuvaa vazi la Hijabu katika picha za vitambulisho vya kitaifa, pasipoti, leseni ya kuendesha gari n.k.
2012 Sep 25 , 05:05