Ewe Mwenyezi Mungu! Siku hii, zidisha hamu yangu katika kutenda mambo ya Nawafil (Sunna), na unukirimu ndani yake kuyatekeleza vyema mambo yangu ya wajibu, njia zangu za kukufikia ziwe karibu miongoni mwa njia; Ewe usiyeshughulishwa na masisitizo ya waja wenye kusisitiza.