iqna

IQNA

jela
Nidhamu
IQNA - Qari maarufu nchini Misri amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa tabia yake isiyo ya kawaida alipokuwa akisoma Qur’ani Tukufu hivi karibuni.
Habari ID: 3478471    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Jinai za Saudia
TEHRAN (IQNA)- Saudi Arabia imemfunga jela miaka 15 daktari mmoja wa kike raia wa Tunisia kwa kuweka video ya maandamano ya kuiunga mkono Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon huko Tunisia.
Habari ID: 3475975    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23

TEHRAN (IQNA)- Mateka Wapalestina wameteketeza moto jela mbili za utawala wa Kizayuni wa Israel wanakoshikiliwa kulalamikia hali mbaya katika vizuizi hivyo vya kuogofya.
Habari ID: 3474276    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema kuwa, hatua ya mateka 6 wa Kipalestina ya kutoka kwenye jela ya utawala wa Kizayuni licha ya kuweko ulinzi mkali, ni ya kishujaa.
Habari ID: 3474266    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/06

TEHRAN (IQNA)-Wafungwa Waislamu na wale wenye asili ya Afrika ndio wanaodhulumiwa zaidi katika jela za Uingereza.
Habari ID: 3471223    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/20

Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
Habari ID: 3470267    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24

Waislamu nchini Ethiopia wamelaani uamuzi wa mahakama moja ya nchi hiyo ya kuwafunga jela miaka 22 wanaharakati 18 wa Kiislamu kwa tuhuma eti za ugaidi.
Habari ID: 3339480    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/05

Mahakama ya Bahrain imemuhukumu Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa chama cha Kiislamu cha al Wifaq kifungo cha miaka minne jela , baada ya jaji mkuu kutupilia mbali dai lililotolewa na wakili wa kiongozi huyo wa kisiasa na kidini kuhusiana na ushahidi wa uongo uliotolewa dhidi yake.
Habari ID: 3315303    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/17

Mahakama ya Misri leo imetoa hukumu ya mwisho dhidi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Muhammad Mursi na viongozi wengine wa Harakati ya Ikhwanul Muslimeen iliyopigwa marufuku nchini humo.
Habari ID: 3315286    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16

Watoto 93 Wapalestina hivi sasa wanashikiliwa katika Jela ya kuogofya ya Ofer ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3312263    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/08