iqna

IQNA

idul fitr
TEHRAN (IQNA) – Siku kuu ya Idul Fitr ni kati ya siku kuu muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na kawaida huwa siku ya mapumziko. Mwaka huu katika aghalabu ya nchi za Kiislamu kumekuwa na hali maalumu ya tahadhari wakati wa Idi ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472799    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/25

TEHRAN (IQNA) - Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani sambamba na kutoa pongezi kwa mnasaba wa Sikukuu ya Idul-Fitr, ametaka wananchi wote washirikiane kwa ajili ya kuwalinda Waislamu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3472798    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/24

TEHRAN (IQNA) - Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) kwa lengo la kushiriki katika Swala ya Idul Fitr.
Habari ID: 3472796    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/24

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu kote duniani salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr.
Habari ID: 3472795    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/24

TEHRAN (IQNA) – Utawala wa jimbo la Java Mashariki nchini Indonesia umebatilisha idhini ya Sala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al Akbar mjini Surabaya baada ya wataalamu kuonya kuhusu matokeo mabaya ya mjumuiko wa watu wengi wakati wa kipindi hiki cha janga la COVID-19.
Habari ID: 3472780    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Tatizo la utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuwa hauna uhalali, ni utawala ambao msingi wa uundwaji wake ni batili, kwa taufiki yake Mwenyezi Mungu na kwa hima ya mataifa ya Waislamu, utawala huo kwa yakini utaangamia."
Habari ID: 3471560    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/15

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia mkono wa Idi viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr.
Habari ID: 3471559    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiisalmu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema chanzo kikuu cha vita, ukosefu wa usalama katika eneo la Kusini mwa Asia na Ulimwengu wa Kiislamu ni madola makubwa ya kiistikbari yakiongozwa na Marekani.
Habari ID: 3470437    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/06

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema leo kuwa taifa la Iran litaendelea kusimama kidete dhidi ya maadui wote kwa ajili ya kutetea taifa linalodhulumiwa la Palestina.
Habari ID: 3470435    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/06

Leo ni Siku Kuu ya Idul Fitr; baada ya siku 30 za Mwezi wa Ramadhani wenye baraka tele na neema nyingi za Mwenyezi Mungu pamoja na baraka zake za kimaanawi. Huu ni mwanzo halisi wa kuelekea katika ubora wa mwanadamu. (Ayatullah Khamenei: 13/10/2007)
Habari ID: 3470433    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/05