Habari Maalumu
IQNA – Uwanja wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, leo tarehe 28 Disemba 2025 umeshuhudia hafla ya kupandisha bendera maalum.
28 Dec 2025, 15:44
IQNA – Kuanzia unyanyasaji wa mtandaoni hadi mashambulizi ya umati na sera za kibaguzi, mwaka 2025 uliweka bayana hali ya kutisha kwa Waislamu walio wachache...
28 Dec 2025, 15:34
Istighfar katika Qur’an Tukufu / 7
IQNA – Katika aya za Qur’ani Tukufu, Istighfar (kuomba msamaha wa Mwenyezi Mungu) imeelezwa kuwa miongoni mwa masharti ya kuingia Peponi na pia ni ada...
27 Dec 2025, 20:06
IQNA – Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Ulimwengu wa Kiislamu (ISESCO) limepokea nakala adimu ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa kwa mkono wa Abu...
27 Dec 2025, 19:49
IQNA – Sherehe imefanyika katika Kambi ya Wakimbizi ya Al-Shati, magharibi mwa Gaza, kuadhimisha wanaume na wanawake 500 waliokamilisha kuhifadhi Qur’ani...
27 Dec 2025, 19:33
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Vila Cajon kilichoko Sao Paulo, mji mkuu wa kiuchumi wa Brazil, kimeandaa kozi ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu kwa watoto.
27 Dec 2025, 19:14
IQNA – Takriban washiriki 170 wameingia katika hatua ya mwanzo ya mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’an Tukufu nchini Oman.
27 Dec 2025, 18:49
Mtazamo
IQNA – Mwanazuoni wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia kutoka Iraq anaamini kuwa tafiti mpya juu ya asili ya jina Buratha (mwana wa maajabu) na mawe ya ajabu...
26 Dec 2025, 22:22
Shambulio la kigaidi limewalenga waumini waliokuwa katika ibada ya Sala leo Ijumaa katika msikiti wa Imam Ali bin Abi Talib (AS) katika kitongoji cha Wadi...
26 Dec 2025, 22:41
IQNA-Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea kwenye msikiti ulioko katika Soko la Gamboru, mjini Maiduguri, katika Jimbo la Borno...
26 Dec 2025, 19:26
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu kwa Papa Leo wa XIV, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, akimpongeza kwa mnasaba...
25 Dec 2025, 16:34
IQNA – Mwanafikra na msanii Mkristo kutoka Lebanon amesema Nabii Isa na Mtume Muhammad (rehema na amani ziwashukie) waliona jukumu lao kuwa ni kusimamisha...
25 Dec 2025, 16:52
IQNA – Wachezaji wa timu ya taifa ya kandanda ya Misri wamesoma aya za Qur’ani Tukufu kwa sauti ya pamoja kabla ya mechi dhidi ya Zimbabwe katika michuano...
25 Dec 2025, 12:44
IQNA – Katika ujumbe wake kwa viongozi na wafuasi wa Kanisa Katoliki, Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO), Hujjatul-Islam...
25 Dec 2025, 12:04
IQNA- Dr. Ali Muhammad Al-Salabi, mwandishi na mtafiti wa Libya, ndiye aliyeandika Ensaiklopidia ya Hadithi za Manabii katika Qur’anI Tukufu.
24 Dec 2025, 20:23
IQNA-Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani yatafanyika katika jimbo la Menoufia, Misri, kwa kumbukumbu ya dada watatu wadogo wa Kimasri waliopoteza...
24 Dec 2025, 20:17