Klipu hii hapa chini ni ya qiraa ya pumzi moja ya wasomaji 11 mashuhuri wa Qur’ani Tukufu duniani.
Kati ya maqarii mashuhuri katika klipu hii ni Ahmed Ahmed Noaina, Abdul Fattah Taruti, Rafat Hussein, Mohamed al-Laithi, Samir Antar Muslim na Abdul Wali al-Arkani.