Ndege za kivita za Israel zimeshambulia maeneo ya kaskazini mwa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
2013 Oct 28 , 20:19
Sheikh Mahmoud Amin Tantawi ambaye alikuwa miongoni mwa maqarii wakubwa wa Qur'ani alifariki dunia jana mjini Cairo.
2013 Oct 27 , 10:27
Kituo cha Uhakiki wa Kiislamu cha al Azhar nchini Misri kimetahadharisha juu ya kuwepo Qur'ani na Hadithi zilizopotoshwa katika baadhi ya mitandao ya intaneti na mitandao ya kijamii.
2013 Oct 27 , 10:25
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo ametoa ujumbe uliosomwa kwa mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kwenye uwanja wa Arafa mjini Makka akiitaja ibada ya Hija kuwa ni sikukuu kubwa ya Umma wa Kiislamu na fursa yenye muujiza unaoweza kutibu matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu. Matini kamili ya ujumbe wa Kiongozi Muadhabu kwa mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu ni hii ifuatayo
2013 Oct 27 , 10:24
Sheikh Mkuu wa al al Azhar nchini Misri amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililofanywa na watu wasiojulikana dhidi ya kanisa la al Adh'raa katika wilaya ya Giza.
2013 Oct 27 , 10:20
Mwanaharakati wa kisiasa wa Kuwait Hamoud Mubarak al Azmi ametoa wito wa kufikishwa mahakamani watu waliotenda jinai ya kuchoma moto nakala ya kitabu kitukufu cha Qur'ani katika msikiti wa eneo la Salimiyya nchini humo.
2013 Oct 27 , 10:18
Mfalme wa Brunei amesema sheria za Kiislamu zitaanza kutekelezwa katika mahakama za nchi hiyo hivi karibuni.
2013 Oct 27 , 10:15
Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeikosoa Saudi Arabia kwa kutokomesha hali ya kutisha ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.
2013 Oct 21 , 17:08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo ametoa ujumbe uliosomwa kwa mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kwenye uwanja wa Arafa mjini Makka akiitaja ibada ya Hija kuwa ni sikukuu kubwa ya Umma wa Kiislamu na fursa yenye muujiza unaoweza kutibu matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
Matini kamili ya ujumbe wa Kiongozi Muadhabu kwa mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu ni hii ifuatayo:
2013 Oct 14 , 13:17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa changamoto kuu zinazoyakabili Mapinduzi ya Kiislamu hivi sasa, ni kukabiliana na tawala zenye kupenda kujitanua duniani katika jitihada za mapinduzi hayo za kueneza ujumbe wake wa Kiislamu duniani ambao ni kujiepusha na dhuluma.
2013 Sep 18 , 17:58
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, kuimarishwa umoja kati ya umma wa Kiislamu ni njia pekee ya kuweza kukabiliana na njama za Marekani na waitifaki wake kote duniani khususan katika umma wa Kiislamu.
2013 Sep 14 , 17:49
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran amesema kuwa Waislamu wako macho na kwamba yeyote atakayeanzisha vita dhidi ya Syria atafunikwa kabisa na moto wa vita hivyo.
2013 Sep 14 , 17:49
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maadui wanachochea mizozo na mapigano baina ya Waislamu wenyewe kwa kwenyewe kwa kutumia kisingizio cha kuwepo tofauti za kimadhehebu baina ya Waislamu.
2013 Sep 12 , 22:42