Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maadui wanachochea mizozo na mapigano baina ya Waislamu wenyewe kwa kwenyewe kwa kutumia kisingizio cha kuwepo tofauti za kimadhehebu baina ya Waislamu.
2013 Sep 12 , 22:42
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imetangaza kuwa, kuna ushahidi wa kutosha unaothibitisha kuwa, video ya wahanga wa mauaji ya silaha za kemikali wanaodaiwa kuuliwa na jeshi la Syria, ni ya bandia.
2013 Sep 12 , 22:41
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa serikali, viongozi wa nchi, wanasiasa, wanadiplomasia na wananchi wote wanapaswa kuchambua kwa umakini harakati, mwenendo tata na madai ya kutetea haki za binadamu ya Magharibi.
2013 Sep 10 , 10:57
Ayatullah Muhsin Araki, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amewataka maulamaa wa nchi za Kiislamu kufanya juhudi za kuyatangaza mafundisho ya Uislamu kwa watu.
2013 Sep 08 , 08:09
Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani ameonya kuhusu vita tarajiwa vya Marekani dhidi ya Syria na kusema natija ya vita hivyo haiwezi kutabirika.
2013 Sep 08 , 08:09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesisitiza kuwa, Wamarekani wanatenda kosa kubwa nchini Syria na kwa msingi huo, watapata pigo litakalowadhuru.
2013 Sep 05 , 21:46
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuboresha Sala na kuwahimiza watu wengine kuswali ni moja ya nyadhifa muhimu za waumini.
2013 Sep 05 , 12:41
Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu wa Iran amesema kuwa Hayati Imam Khomeini MA alipelekea kuibuka mwamko wa Kiislamu duniani.
2013 Sep 04 , 15:04
Bunge la Uingereza limepiga kura ya kupinga muswada uliowasilishwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo David Cameron wa kutaka idhini ya kuishambulia kijeshi Syria.
2013 Aug 31 , 06:25
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran amesema leo kuwa, Marekani na Waitifaki wake wa Ulaya na Mashariki ya Kati wakiishambulia kijeshi Syria watazidi kuchukiwa na Waislamu pamoja na wapenda haki kote duniani.
2013 Aug 31 , 06:25
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, uingiliaji wa madola ya kieneo kwa kushirikiana na baadhi ya nchi za kigeni dhidi ya nchi moja hautakuwa na natija yoyote ghairi ya kuwasha moto na kuzidisha chuki ya wananchi wa mataifa mbalimbali dhidi ya wavamizi.
2013 Aug 28 , 21:39
Mawaziri 15 kati ya 18 waliokuwa wamependekezwa na Rais Hassan Rohani wamepasishwa na Majlis ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge), kwa ajili ya kuanza kazi katika serikali ya awamu ya 11 ya Jamhuri ya Kiislamu.
2013 Aug 16 , 11:02
Harakati ya Hizbullah imesema ndiyo iliyohusika na milipuko iliyowajeruhi wanajeshi wanne wa utawala haramu wa Israel ambao walikuwa wamepenya na kuingia kusini mwa Lebanon.
2013 Aug 16 , 11:01