Harakati ya Hizbullah imesema ndiyo iliyohusika na milipuko iliyowajeruhi wanajeshi wanne wa utawala haramu wa Israel ambao walikuwa wamepenya na kuingia kusini mwa Lebanon.
2013 Aug 16 , 11:01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, matukio ya magharibi mwa Asia hususan Palestina na yale ya kaskazini mwa Afrika yanatia wasi wasi mno.
2013 Aug 10 , 07:54
Mamia ya wahadhiri wa Vyuo Vikuu, wawakilishi wa majopo ya kielimu na watafiti wa Vyuo Vikuu vya Iran jana alasiri walikuwa na kikao na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ambapo walipata fursa ya kubainisha mitazamo yao sambamba na kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali khususan yale ya kielimu na vyuo vikuu.
2013 Aug 07 , 13:08
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Dkt. Hassan Rohani leo amesema Iran iko tayari kwa ajili ya mazungumzo ya 'dhati' ya nyuklia pasina kupoteza wakati.
2013 Aug 07 , 13:08
Rais Hassan Rohani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameapishwa rasmi leo Jumapili katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani Bunge la Iran.
2013 Aug 04 , 22:43
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ukabidhianaji madaraka ya urais kwa njia ya amani ni natija ya mfumo wa demokrasia ya Kiislamu nchini Iran. Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei aliyasema hayo Jumamosi alasiri mjini Tehran katika hafla ya kumuidhinisha Dakta Hassan Rohani, kuwa rais wa saba wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2013 Aug 04 , 21:05
Sayyed Nasrallah katika Siku ya Kimataifa ya Quds
Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema kuwa, kutokomezwa utawala wa Kizayuni wa Israel kutakuwa na manufaa kwa wananchi wa eneo lote la Mashariki ya Kati.
2013 Aug 03 , 11:26
Mamilioni ya wananchiwa Iran tangu leo wanashiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds wakiitikia wito wa mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayati Imam Ruhullah Khomeini MA aliyeitangaza Ijumaa ya mwisho ya kila mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds kwa ajili ya kuzidisha juhudi za kukomboa kibla cha kwanza cha Waislamu na ardhi za Palestina zilizoghusubiwa na Wazayuni.
2013 Aug 02 , 21:47
Akizungumza katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mjini Tehran, Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Iran amesema uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel unatokana na uongo mkubwa wa kihistoria na ushirikiano wa madola yenye kiburi kwa lengo la kuikoloni dunia.
2013 Aug 02 , 21:47
Khatibu wa sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, njia pekee ya kutatuliwa kadhia ya Palestina na kurejeshwa haki za wananchi wa eneo hilo, ni kuendelezwa muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
2013 Aug 02 , 21:46
Maandamano makubwa yameandaliwa katika zaidi ya nchi 80 na miji 880 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa munasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo itaadhimishwa Ijumaa.
2013 Aug 01 , 14:56
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, matukio ya nchini Misri yanaonesha kina cha mwamko wa Kiislamu katika nchi hiyo.
2013 Jul 29 , 14:26
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa suala muhimu kwa harakati hiyo ni kwamba inaungwa mkono na wananchi wa Lebanon, mataifa ya Kiarabu na ulimwengu wa Kiislamu.
2013 Jul 25 , 14:42