Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametahadharisha kwamba adui anafanya njama za kuzusha mfarakano baina ya mataifa ya Kiislamu ili kuzuia umma wa Kiislamu usisonge mbele.
2013 Jun 08 , 11:01
Awamu ya 30 ya mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi na kusoma Qurani Tukufu imemalizika mjini Tehran, kwa msomaji na hafidh kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupata nafasi ya kwanza.
2013 Jun 08 , 11:00
Idadi kubwa isiyo na kifani ya wananchi waumini na wanapinduzi kutoka kila pembe ya Iran, Jumanne walikutanika kwenye mkusanyiko adhimu na uliojaa hamasa katika Haram toharifu ya Imam Khomeini (MA) kusini mwa Tehran na kwa mara nyingine kutangaza utiifu wao kwa kipenzi chao huyo aliyetangulia mbele ya Haki, Imam Khomeini (MA) ambaye ni kamba madhubuti ya umoja na utukufu wa taifa na viongozi wa Iran.
2013 Jun 05 , 20:17
Dakta Sayyid Muhammad Husseini, Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, kushikamana na Qur’ani Tukufu, ndiyo njia pekee ya kuwaokoa Waislamu kutokana na njama za maadui duniani.
2013 Jun 03 , 14:18
Khatibu wa sala ya Ijumaa amesema taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa 11 wa rais litavunja njama za maadui wa mapinduzi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.
2013 May 31 , 21:53
Iran leo imekuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Marafiki wa Syria ambao umefanyika mjini Tehran na kuhudhuriwa na wawakilishi wa nchi 40.
2013 May 30 , 16:47
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wanaogombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wawe wakweli na watoe maelezo sahihi katika kampeni zao.
2013 May 30 , 16:47
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi na kwa shauku taifa la Iran katika uchaguzi wa Juni 14 mwaka huu kutaonesha mafanikio makubwa ya Mapinduzi na mfumo wa Kiislamu wa Iran.
2013 May 28 , 12:35
Serikali ya Myanmar ikiwa na lengo la kuweka sheria za kibaguzi dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo, imepitisha sheria ya ukomo wa kuzaa watoto wawili tu kwa Waislamu wa nchi hiyo.
2013 May 28 , 12:35
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah Seyyed Hassan Nasrallah ametetea uamuzi wa harakati hiyo kupambana na magaidi wanaopata uungaji mkono wa kigeni huko Syria katika mji wa mpakani wa al-Qusayr.
2013 May 26 , 10:12
Dkt. Husseini katika Siku ya Afrika Tehran
Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu nchini Iran amesema Tehran iiko tayari kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika.
2013 May 26 , 10:12
Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa serikali yake itaendeleza mapambano dhidi ya ugaidi na magaidi lakini pia itatumia njia za kisiasa kutatua mgogoro ulioikumba nchi hiyo.
2013 May 24 , 20:59
Khatibu wa sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran kwenye duru ya 11 ya uchaguzi wa rais hapa nchini, kutaulinda mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na njama za maadui.
2013 May 24 , 20:59