Binti mmoja wa Kifaransa aliyevalia vazi la stara la hijabu, amezuiliwa kujiandikisha kwenye somo la michezo kwa sababu eti amevaa vazi hilo la stara kwa mwanamke wa Kiislamu.
2013 Mar 20 , 19:02
Maandamano ya wananchi yameendelea Saudi Arabia dhidi ya utawala wa kifalme nchini humo. Siku ya Jumamosi waandamanaji waliokuwa na hasira waliandamana katika mji wa Buraidah ulio katika mkoa wa al Qassim wakitaka kuachuliwa huru wafungwa wa kisiasa wakiwemo wanawake waliokamatwa hivi karibuni.
2013 Mar 17 , 08:59
Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na kituo cha simu cha kuwasaidia Waislamu wa Uingereza imeonesha kuwa wanawake Waislamu ndio wahanga wakuu wa ukatili, ubaguzi na vitendo vya unyanyasaji nchini humo.
2013 Mar 12 , 11:03
Wananchi wa Saudi Arabia wamefanya maandamano makubwa dhidi ya utawala wa Aal Saud katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kutaka Muhammad bin Nayef Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ajiuzulu.
2013 Mar 10 , 05:45
Mushir al Masri ambaye ni miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa safari iliyopangwa kufanywa na Rais Barack Obama wa Marekani huko Baitul Muqaddas, Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kwenda katika Msikiti wa Al Aqsa ni sawa na tangazo la vita dhidi ya Wapalestina na kuchochea hisia za Waislamu kote duniani.
2013 Mar 09 , 20:52
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevitaja vikwazo na kadhia ya nyuklia kuwa ni changamoto mbili zinazoukabili mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, pamoja na kuwepo changamoto hizo wananchi wa Iran bado wanapiga hatua mbele kimaendeleo na jambo hilo linawakera na kuwakasirisha mno maadui.
2013 Mar 08 , 11:09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja mimea na miti kuwa chimbuko la ustawi na Baraka kwa nchi zote na jamii ya mwanaadamu.
2013 Mar 05 , 22:01
Mwanasiasa maarufu wa Uholanzi ambaye alikuwa katika mstari wa mbele wa chuki dhidi ya Uislamu sasa amesilimu.
2013 Mar 03 , 07:18
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za maadui za kuzuia sauti ya taifa la Iran isiwafikie watu wengine ulimwenguni zitashindwa.
2013 Mar 03 , 07:18
Meya wa jiji la Moscow nchini Russia amesema kuwa hakutatolewa tena kibali cha ujenzi wa misikiti mipya katika mji huo.
2013 Mar 02 , 22:21
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa matatizo mengi ya Umma wa Kiislamu ni ya kutwishwa na yaliyobuniwa na maadui wa Uislamu.
2013 Feb 27 , 22:24
Shule za Kiislamu nchini Uingereza zimetajwa kuwa ni miongoni mwa shule bora kwenye orodha za taasisi za kielimu nchini humo, baada ya wanafunzi wa shule hizo kufanya vyema kwenye masomo yao.
2013 Feb 26 , 10:05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema historia ya Mapinduzi ya Kiislamu, Kujihami Kutakatifu, Palestina na Mwamko wa Kiislamu ni kati ya maudhui ambazo ni muhimu zitumike katika utengenezaji filamu.
2013 Feb 21 , 16:00