Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, vijana azizi wa taifa la Iran wanapaswa kujiweka tayari kwa ajili ya kupiga hatua zenye kasi kubwa za maendeleo kuelekea kwenye malengo matukufu yaliyoainishwa.
2013 Jan 14 , 11:35
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumanne asubuhi alionana na maelfu ya watu wanamapinduzi na wenye kushikamana na dini wa mjini Qum na kusisitiza kuhusu umuhimu wa taifa la Iran kusimama kidete mbele ya njama za maadui.
2013 Jan 09 , 13:58
Hukumu zisizo za kiadilifu zimeendelea kutolewa nchini Bahrain na utawala wa kifamilia wa Aal Khalifa zimelaaniwa na taasisi za kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya.
2013 Jan 09 , 13:57
Mufti Mkuu wa Saudi Arabia ametoa wito wa kusaidiwa kifedha magaidi wa Syria wanaoua raia wasio na hatia.
2013 Jan 07 , 11:40
Jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo limechapisha kitabu kinachomvunjia heshima Mtume Mtukufu Muhammad SAW.
2013 Jan 06 , 08:56
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah Sayyid Hassa Nasrullah amesema kuwa, mabeberu wakiongozwa na Marekani na utawala haramu wa Kizayuni, wanakosea kutathmini uwezo wa harakati hiyo.
2013 Jan 04 , 20:27
Khatibu wa sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, mashinikizo na vitisho vinavyotolewa na Wamagharibi kamwe haviwezi kuwaondoa wananchi wa Iran katika mkondo wa ustawi na kufikia kwenye malengo na thamani za Mapinduzi ya Kiislamu.
2013 Jan 04 , 20:26
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kutokana na kifo cha Ayatullah Mujtaba Tehrani, mmoja kati ya maraji'i wa kidini hapa nchini na kusema kuwa, kifo cha alimu na mwalimu huyo wa akhlaki kimeacha pengo kubwa kwa vyuo vya kidini, wasomi na jamii ya kidini.
2013 Jan 02 , 22:17
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inafuate sera za kuleta umoja katika ulimwengu wa Kiislamu.
2013 Jan 02 , 13:21
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu ameonana na majimui ya watu wanaojitolea katika masuala ya afya nchini Iran na kusema kuwa suala la "usalama wa kiafya, tiba na utabibu" ni moja ya masuala ya kimsingi kabisa na ya daraja la kwanza nchini Iran
2013 Jan 01 , 13:58
Khatibu wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran amesema kuwa, hamasa ya tarehe 30 Desemba mwaka 2009 ilikuwa ishara ya wazi ya kuwa macho na utayarifu wa taifa la Iran wa kukabiliana na njama na fitina ya aina yoyote ile ya maadui yenye lengo la kutoa pigo kwa mfumo wa Kiislamu unaotawala hapa nchini.
2012 Dec 29 , 11:04
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za kheri na fanaka kwa viongozi Wakristo na mataifa yao kote duniani kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Nabii Issa AS na kuwadia mwaka mpya wa 2013 Miladia.
2012 Dec 27 , 13:55
Kituo cha Utafiti nchini Marekani 'Gatestone Institute' kimetoa takwimu zinazoonyesha wafuasi wa dini mbalimbali na kukiri kwamba katika kipindi cha miaka kumi ya hivi karibuni dini ya Kiislamu ndiyo iliyostawi kwa kasi zaidi nchini Uingereza na mwenendo huo utaendelea pia katika miaka ijayo.
2012 Dec 23 , 06:53