Kituo cha Utafiti nchini Marekani 'Gatestone Institute' kimetoa takwimu zinazoonyesha wafuasi wa dini mbalimbali na kukiri kwamba katika kipindi cha miaka kumi ya hivi karibuni dini ya Kiislamu ndiyo iliyostawi kwa kasi zaidi nchini Uingereza na mwenendo huo utaendelea pia katika miaka ijayo.
2012 Dec 23 , 06:53
Kongamano la Tatu la Kimataifa la Utalii wa Kiafya katika nchi za Kiislamu limefanyika katika mji wa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
2012 Dec 20 , 13:13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema harakati ya sayansi Iran ilinawiri na kustawi wakati nchi za Magharibi zilipokuwa katika kiza.
2012 Dec 20 , 13:13
Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani haitaki kuona amani na uthabiti vikitawala nchini Syria, bali inataka kuona vita vikiendelea vita vya msugano nchini humo.
2012 Dec 17 , 13:04
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC kupitia kituo chake cha Utafiti wa Historia, Sanaa na Utamaduni wa Kiislamu (IRCICA) kimeandaa kongamano la kimataifa kuhusu 'Historia ya Ustaarabu wa Kiislamu Mashariki mwa Afrika.'
2012 Dec 17 , 12:22
Mkutano wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu Afrika umefunguliwa katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam.
2012 Dec 17 , 11:51
Magaidi wa Kiwahabi nchini Syria wamebomoa na kuteketeza kwa moto Misikiti na maeneo mbalimbali ya kidini ya Waislamu wa Madhehebu ya Kishia kwa lengo la kuzusha fitna za Kimadhehebu nchini humo.
2012 Dec 15 , 13:12
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amekosoa jamii ya kimataifa hasa Umoja wa Mataifa kwa kupuuza jinai za Marekani katika nchi tofauti na uungaji mkono wake kwa magaidi, na kusema kuwa inasikitisha kwamba katika siku ya kimataifa ya haki za binadamu hakukuchukuliwa hatua zozote dhidi ya Washington.
2012 Dec 15 , 13:11
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya kimataifa ya mwamko wa Kiislamu Dakra Ali Akbar Velayati amesema katika ufunguzi wa mkutano huo kwamba mwamko wa Kiislamu haujafika mwisho wake bali uko mwanzoni mwa njia na unahitajia juhudi maradufu kwa ajili ya kukamilisha mafanikio yake.
2012 Dec 11 , 09:30
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mivutano inayoendelea sasa duniani inasababishwa na hatua ya baadhi ya nchi kupenda makuu.
2012 Dec 11 , 09:30
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema Syria ina uwezo wa kusimama kidete na kukabiliana na sera za kujitakia makuu za utawala wa Kizayuni wa Israel.
2012 Dec 08 , 19:47
Kikosi cha majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limetangaza kuwa limefanikiwa kunasa ndege nyingine ya kijasusi ya Marekani aina ya ScanEagle katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
2012 Dec 05 , 17:48
Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu OIC imelaani na kulalamikia uamuzi wa karibuni hivi wa utawala wa Kizayuni wa kutaka kujenga nyumba mpya 3000 huko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu.
2012 Dec 03 , 15:36