Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu OIC imelaani na kulalamikia uamuzi wa karibuni hivi wa utawala wa Kizayuni wa kutaka kujenga nyumba mpya 3000 huko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu.
2012 Dec 03 , 15:36
Wachezaji soka kutoka ligi kubwa barani Ulaya wamekosoa vikali uamuzi wa Shirikisho la Soka Bara Ulaya (UEFA) wa kuandaa kombe la soka la ubingwa wa chini ya umri wa miaka 19 huko Israel mwakani.
2012 Dec 03 , 12:55
Katika anga ya sasa ya vuta nikuvute nchini Misri, wanachama wa Baraza la Waasisi la nchi hiyo Alkhamisi walikutana na kujadili vipengee vya rasimu ya katiba mpya. Kikao hicho kilipasisha vipengee vyote 234 vya rasimu hiyo.
2012 Dec 01 , 11:39
Khatibu wa muda wa sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza kuwa, muqawama ndiyo njia pekee ya kuweza kukabiliana na mabeberu na wavamizi.
2012 Dec 01 , 11:34
Harakati ya muqawama ya wananchi wa Palestina Hamas ilitangaza jana Alhamisi kuwa sikukuu ya kitaifa kutokana na ushindi walioupata hivi karibuni wananchi wa Palestina wa Ukanda wa Ghaza dhidi ya majeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
2012 Nov 23 , 11:42
Duru mbalimbali za kidiplomasia na kisiasa zinaamini kuwa, usitishwaji mapigano kati ya utawala haramu wa Israel na wanamapambano wa Palestina ni ushindi mkubwa kwa mrengo wa makundi ya Hamas na Jihadul Islami na kwamba utawala ghasibu umepata pigo kubwa.
2012 Nov 23 , 11:02
Wapalestina wasiopungua 151 wameuawa shahidi na wengine 1,200 kujeruhiwa katika kipindi cha wiki moja ya hujuma ya utawala wa haramu wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
2012 Nov 21 , 22:18
Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni kwenye Ukanda wa Ghaza imeshapindukia mia moja na kumi wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wadogo.
2012 Nov 20 , 10:01
Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon amesema kuwa kuwapelekea silaha wanamapambano wa Palestina huko Ghaza ni katika mambo ya wajibu zaidi hivi sasa.
2012 Nov 20 , 09:57
Maandamano ya kuulaani na kutangaza hasira dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na jinai zake yanaendelea katika kona mbalimbali za dunia.
2012 Nov 19 , 16:05
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC wamemaliza mkutano wao wa siku tatu nchini Djibouti Jumamosi hii ambapo wito umetolewa wa kuchukuliwa hatua za dharura kukomesha mauaji ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
2012 Nov 18 , 09:58
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah ameikosoa Marekani kwa kuunga mkono bila masharti utawala wa Kizayuni wa Israel.
2012 Nov 18 , 09:52
Jumuiya ya Tabligh ya Bilal Muslim Mission Kenya imetangaza kufanyika Majalisi katika siku 10 za mwezi wa Muharram katika mji wenye Waislamu wengi wa Mombasa nchini Kenya.
2012 Nov 17 , 16:58