Jumuiya ya Tabligh ya Bilal Muslim Mission Kenya imetangaza kufanyika Majalisi katika siku 10 za mwezi wa Muharram katika mji wenye Waislamu wengi wa Mombasa nchini Kenya.
2012 Nov 17 , 16:58
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran, Ayatullah Ahmad Khatami amelaani mashambulizi ya kinyama ya utawala haramu wa Israel katika ukanda wa Ghaza ambayo hadi sasa yameshasababisha kufa shahidi zaidi ya Wapalestina 20.
2012 Nov 17 , 16:57
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amewataka Waislamu, Waarabu na watu huru kote duniani kupigana bega kwa bega na watu wa Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
2012 Nov 17 , 14:03
Vikosi vya jeshi la Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, huku utawala huo haramu ukisema kwamba utazidisha mashambulizi hayo.
2012 Nov 15 , 13:48
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amekosoa mfumo wa uhuru wa Kimagharibi ambao umepelekea kuibuka ubaguzi, utumizi mabavu na sera za kivita.
2012 Nov 15 , 13:48
Iran imekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa hasa Baraza la Kutetea Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za Israel huko Palestina na kusisitiza kuwa, kimya hicho kinaipa kiburi Israel cha kuendelea kuishambulia Gaza.
2012 Nov 15 , 13:47
Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema katika kikao cha baraza la mawaziri la utawala huo kuwa Israel imejiandaa kufanya mashambulizi makubwa huko Ghaza.
2012 Nov 12 , 13:10
Hali ngumu na mashaka yanayowapata maelfu ya Waislamu wakimbizi wanaokabiliwa na hatari ya njaa, maradhi na kifo huko magharibi mwa Myanmar imewalazimu wanaharakati wa kisiasa wa kabila la Rohingya kwa mara ya kwanza kuuomba Umoja wa Mataifa utume nchini humo wanajeshi wa kulinda amani haraka iwezekanavyo.
2012 Nov 12 , 13:07
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Myanmar kuwapa haki za kiraia Waislamu nchini humo.
2012 Nov 10 , 19:34
Imamu wa Swala ya Ijumaa katika mji mtakatifu wa Najaf nchini Iraq ametangaza kuwa maulamaa wa mji huo wako tayari kukutana na kufanya mjadala na wenzao wa al Azhar nchini Misri.
2012 Nov 10 , 19:33
Jumuiya 11 za Kiislamu katika nchi za Ulaya na Asia zimetoa wito wa kufanyika maandamano ya kuonesha mshikamano wa kimataifa na Waislamu wa Myanmar wanaoendelea kuuawa ovyo.
2012 Nov 06 , 16:56
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran, Hujjatul-Islam Kadhim Siddiqi amesema kuwa wananchi wa Syria wanakabiliwa na mashinikizo kutokana na harakati zao za muda mrefu za kupambana na utawala ghasibu wa Israel.
2012 Nov 04 , 11:50
Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema kuwa, katika kipindi cha miaka 33 iliyopita, taifa la Iran limeweza kushinda njama zote za Wamagharibi za kuizuia Jamhuri ya Kiislamu isifikie hatua ya kujitosheleza katika nyanja mbalimbali.
2012 Nov 04 , 11:50