Khatibu wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran amesema, ulimwengu wa kibeberu unapaswa kutambua kwamba, taifa la Iran limestahamili magumu mengi na kwamba, kwa fadhila za Mwenyezi Mungu litashinda njama na mipango yote ya maadui.
2012 Oct 19 , 22:38
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amelitaka Baraza la Mawaziri la serikali ya Jamhuri ya Kiislamu, kuongeza juhudi maradufu katika kulitumikia taifa la Iran hadi kufikia kiwango kinachotakiwa.
2012 Oct 18 , 13:10
Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) imeutaka Umoja wa Mataifa kusitisha ukiukaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko katika ardhi za Palestina.
2012 Oct 16 , 13:02
Ijumaa tarehe 12 Agosti 2012, jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam Tanzania lilitumia nguvu za ziada kutuliza ghasia baada ya kijana mmoja wa Kikristo anayejulikana kwa jina la Emmanuel Josephat kuutemea mate na kuukojolea Msahafu huko Mbagala na hivyo kuamsha hasira za Waislamu wenye uchungu na dini yao.
2012 Oct 16 , 06:44
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema kuwa, ‘kizazi cha vijana nchini Iran kiko katika mstari wa mbele kukabiliana na madola makubwa yanayojitakia makuu’.
2012 Oct 14 , 11:49
Kanali ya Televisheni ya Almanar ya Lebanon inayomilikiwa na Harakati ya Muqawama ya Hizbullah imeonyesha jinsi ndege isiyo na rubani ya harakati hiyo ilivyoingia katika anga ya utawala haramu wa Israel na kusafiri masafa marefu ndani ya anga hiyo bila ya kugunduliwa.
2012 Oct 14 , 11:48
Maelfu kwa maelfu ya Waislamu nchini Bangladesh wameendeleza maandamano ya kulaani filamu ya iliyotengenezwa Marekani inayomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW
2012 Oct 13 , 20:49
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran, Hujjatul Islam Walmuslimin Kazem Siddiqi amesema kuwa, Wamagharibi kwa kushirikiana na Wazayuni wanaeneza vita Mashariki ya Kati ili kudhoofisha harakati ya muqawama kwa ajili ya kuudhaminia usalama utawala haramu wa Israel.
2012 Oct 12 , 20:18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maendeleo yote yaliyofikiwa nchini Iran yamepatikana wakati taifa hili likiwa chini ya vikwazo.
2012 Oct 12 , 20:14
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa ndege isiyo na rubani (drone) iliyoangushwa na utawala haramu Israel (katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu) siku chache zilizopita ni milki ya Hizbullah.
2012 Oct 12 , 20:13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Wamagharibi wanashadidisha vikwazo vyao dhidi ya Iran kutokana na taifa hili kulinda utukufu wake na kuwa na irada imara ya kujitegemea.
2012 Oct 11 , 15:11
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ametoa wito kwa nchi wanachama na jamii ya kimataifa kutuma misaada ya haraka nchini Somalia.
2012 Oct 10 , 23:08
Uchunguzi uliofanyika huko Marekani unaonesha kuwa idadi ya Wakristo wa Kiprotestanti imepungua na kufikia chini ya asimilia 50 ya watu wote wa jamii ya nchi hiyo.
2012 Oct 10 , 23:04