Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa sababu kuu ya mashinikizo yote yanayotolewa dhidi ya Iran ni msimamo huru wa taifa la Iran na kutosalimu amri mbele ya mfumo wa kibeberu duniani.
2012 Oct 03 , 22:10
Msikiti mpya ujulikanao kama Ghadri umefunguliwa Oktoba Mosi katika eneo la Kigogo jijini Dar-es-Salaam Tanzania.
2012 Oct 03 , 22:10
Kwa mara nyingine tena Wazayuni wa Israel wamechukua uamuzi wa kufunga Msikiti wa Nabii Ibrahim (as) katika mji wa al-Khalil kwa kisingizio cha kudhamini usalama wakati wa kufanyika sherehe za Mayahudi, na hivyo kuwazuia Waislamu kuswali katika mji huo.
2012 Oct 03 , 16:11
Serikali ya Morocco imepiga marufuku kwa muda wa wiki moja usambazwaji nchini humo wa magazeti na majarida ya Ulaya kufuatia hatua ya majarida ya Hispania na Ufaransa ya kuchapisha vikatuni vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw).
2012 Oct 03 , 16:02
Baraza la Mamfuti katika eneo la Caucasus Kaskazini nchini Russia wamepongeza uamuzi wa makahama nchini kupiga marufuku filamu ya Marekani inayomkashifu Mtume SAW.
2012 Oct 02 , 22:18
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina imeonya kuwa Intifadha ya tatu ya Palestina inakaribia kuibuka hivi karibuni kufuatia hujuma za mara kwa mara za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Mji wa Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
2012 Oct 02 , 22:17
Hivi karibuni mahakama moja nchini Kenya ilitoa uamuzi wa kushangaza pale ilipopiga marufuku uvaaji wa Hijabu shuleni na punde baada ya uamuzi huo Baraza Kuu la Waislamu Kenya SUPKEM limesema litakata rufaa katika mahakama huu nchini humo.
2012 Oct 02 , 22:17
Waislamu na Wakristo wa mji wa Hasibiyya nchini Lebanon jana Jumatatu walifanya kikao cha pamoja cha kulaani filamu ya matusi inayomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) iliyotengenezwa huko Marekani kwa ushirikiano wa Wazayuni wa Israel.
2012 Oct 02 , 19:48
Sara Azmeh Rasmussen, Msyria aliye na uraia wa Norway na ambaye ni mpinzani mkubwa wa mafundisho ya kidini na serikali ya Rais Bashar Asad wa Syria amesambaza katika weblogi yake picha chafu zinazomvunjia heshima moja kwa moja Mtume Mtukufu (saw).
2012 Oct 02 , 19:39
Waislamu wa India wamefanya maandamano makubwa kwa lengo la kumtetea Mtume wao (saw) aliyevunjiwa heshima katika filamu iliyotengenezwa hivi karibuni huko Marekani na maadui wa Uislamu.
2012 Oct 02 , 19:36
Kwa mara ya kwanza kabisa, Palestina imehudhuria kikao cha Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kama mwanachama kamili.
2012 Oct 02 , 19:33
Mwandishi wa kitabu cha "Aya za Shetani" murtadi Salman Rushie amesema kuwa, kuchapishwa tena fatuwa ya Imam Khomeini aliyemhukumu kifo mwandishi huyo, katika mitandao ya kijamii kwenye intaneti kunamtia woga na wahaka mkubwa.
2012 Oct 02 , 16:43
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutekeleza maazimio yanayopiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya kidini.
2012 Oct 01 , 18:44