iqna

IQNA

Bulgaria
Uislamu ni chaguo langu
KANO (IQNA) - Mwanamke wa Bulgaria mwenye umri wa miaka 62, Liliana Mohammed, amefikia ndoto yake ya kujifunza Qur'ani Tukufu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 30.
Habari ID: 3477993    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /31
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri ya kwanza ya kitaaluma ya Kurani Tukufu katika lugha ya Kibulgaria ilitolewa na Tsvetan Teophanov, maprofesa wa Chuo Kikuu cha Sofia. Teophanov alijifunza lugha ya Kiarabu kwa bahati na hii ilisababisha maendeleo makubwa katika maisha yake.
Habari ID: 3477875    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04

TEHRAN (IQNA) – Vijana kadhaa waliohifadhi Qur'ani Tukufu nchini Bulgaria wameenziwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3472106    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/30

Mufti Mkuu wa Bulgaria ametahadharisha juu ya kuongezeka mashambulio yaliyoratibiwa dhidi ya Waislamu na maeneo ya ibada ya Waislamu katika nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 1445545    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/01