iqna

IQNA

Babri
TEHRAN (IQNA) – Pakistan imetoa wito kwa serikali ya India ilinde haki za jamii za waliowachache hasa Waislamu na ihakikishe kuwa wanapata usalama na uhuru wa kuabudu.
Habari ID: 3473432    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/07

Kufuatia Hukumu ya Mahakama
TEHRAN (IQNA) Mahakama Kuu ya India imewapokonya Waislamu ardhi ya Msikiti wa kihistoria wa Babri na kuwakabidhi Mabiniani (Wahindi) eneo hilo ili wajenge hekalu lao.
Habari ID: 3472207    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/09