IQNA

Mwanazuoni asifu mwitikio imara ya Wayemini dhidi ya kudhalilishwa kwa Qur’ani Tukufu

Mwanazuoni asifu mwitikio imara ya Wayemini dhidi ya kudhalilishwa kwa Qur’ani Tukufu

IQNA – Mkuu wa Baraza la Maendeleo ya Utamaduni wa Qur’ani Tukufu nchini Iran, Hujjatul Islam Mohammad Qomi, amepongeza mwitikio wa nguvu wa wananchi wa Yemen kufuatia kitendo cha kuvunjiwa heshima kwa Qur’ani Tukufu kilichofanywa na mgombea wa Seneti nchini Marekani.
16:57 , 2025 Dec 22
Kuvunjiwa heshima Qur’ani ni sehemu ya kuongezeka kwa uadui dhidi ya Waislamu Magharibi

Kuvunjiwa heshima Qur’ani ni sehemu ya kuongezeka kwa uadui dhidi ya Waislamu Magharibi

IQNA – Tukio la hivi karibuni la kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu katika Msikiti Mkuu wa Stockholm nchini Uswidi si jambo la pekee, bali ni sehemu ya mfululizo wa mashambulizi ya kibaguzi na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) yanayoongezeka nchini Uswidi (Sweden) na maeneo mengine ya Magharibi.
16:46 , 2025 Dec 22
Pushkin: Malenga wa Urusi aliyevutiwa na Qur’ani Tukufu

Pushkin: Malenga wa Urusi aliyevutiwa na Qur’ani Tukufu

IQNA – Athari ya Qur’an Tukufu haijabakia kwa washairi Waarabu na Waislamu pekee, bali imevuka mipaka na kuwagusa pia washairi na waandishi mashuhuri wa tamaduni nyingine.
16:36 , 2025 Dec 22
Watu wamzawadia gari hafidh wa Qur’ani Tukufu nchini Misri

Watu wamzawadia gari hafidh wa Qur’ani Tukufu nchini Misri

IQNA- Wakazi wa kijiji cha Tabloha, jimbo la Menoufia, wamemzawadia gari kijana mwenye ulemavu wa machi Misri, Abdul Rahman Mahdi, baada ya kushinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu yaliyoandaliwa na Wizara ya Awqaf ya Misri.
16:22 , 2025 Dec 22
Mufti Mkuu wa Uganda asifu harakati za Iran za kuimarisha umoja

Mufti Mkuu wa Uganda asifu harakati za Iran za kuimarisha umoja

IQNA- Mufti Mkuu wa Uganda, Sheikh Shaban Ramadhan Mubajje, amepongeza juhudi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuimarisha mshikamano wa Waislamu.
15:02 , 2025 Dec 22
Mji  wa Isfahan, Iran wafunikwa kwa theluji

Mji wa Isfahan, Iran wafunikwa kwa theluji

IQNA – Mji wa kihistoria wa Isfahan, katikati ya Iran, uliamka Ijumaa, tarehe 19 Disemba 2025, ukishuhudia mandhari ya kuvutia pale theluji ya kwanza ya vuli ilipolala juu ya mandhari zake maarufu. Upepo wa theluji laini ulienea katika mji huo ambao ni maarufu Kiajemi kama Nisfe Jehan yaani “Nusu ya Dunia." Neema hiyo ya mmwenyezi Mungu ilieneza furaha na kuleta bashasha halisi mitaani.
21:15 , 2025 Dec 21
Israel yalaaniwa baada ya kushambulia sherehe ya harusi Gaza

Israel yalaaniwa baada ya kushambulia sherehe ya harusi Gaza

IQNA- Utawala haramu wa Israel unaendelea kulaaniwa vikali  baada ya kushambulia kikatili sherehe ya harusi Gaza huku shirika mashuhuri la haki za kiraia za Waislamu nchini Marekani likitaka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati.
21:07 , 2025 Dec 21
Saudi Arabia Yazindua Mashindano ya 27 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

Saudi Arabia Yazindua Mashindano ya 27 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

IQNA-Mashindano ya 27 ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu yameanza nchini Saudi Arabia.
21:03 , 2025 Dec 21
Wanafunzi Warejea Chuo Kikuu cha Kiislamu Gaza Kilichoharibiwa Baada ya Miaka Miwili

Wanafunzi Warejea Chuo Kikuu cha Kiislamu Gaza Kilichoharibiwa Baada ya Miaka Miwili

IQNA-Wakipita njia zilizozungukwa na majengo yaliyoharibiwa na vifusi, wanafunzi Wapalestina wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Gaza wiki hii wamerudi darasani kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili.
21:00 , 2025 Dec 21
“Dawlat al-Tilawa” Yasifu Huduma za Qur’an za Marehemu Qari Sheikh Mustafa Ismail

“Dawlat al-Tilawa” Yasifu Huduma za Qur’an za Marehemu Qari Sheikh Mustafa Ismail

IQNA--Katika kipindi cha wiki hii cha televisheni ya Qur’an nchini Misri, Dawlat al-Tilawa, sehemu maalum ilitengwa kumuenzi marehemu Qari mashuhuri Sheikh Mustafa Ismail kwa huduma zake za Qur’ani.
20:56 , 2025 Dec 21
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Bangladesh: Qari wa Iran Ashika Nafasi ya Pili

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Bangladesh: Qari wa Iran Ashika Nafasi ya Pili

IQNA-Wawakilishi wa Iran walikuwa miongoni mwa washindi wakuu katika mashindano ya nne ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyofanyika Bangladesh.
20:53 , 2025 Dec 21
Jinsi Istighfar Inavyoathiri Maisha ya Duniani

Jinsi Istighfar Inavyoathiri Maisha ya Duniani

IQNA – Kuamini athari ya kiroho katika maisha hakumaanishi kupuuza nafasi ya sababu za kimaada, bali kunamaanisha kuwa sambamba na mambo ya kimaada, yapo pia mambo ya kiroho kama Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) ambayo yana athari.
15:04 , 2025 Dec 20
Nakala 20,000 za Tafsiri ya Qur’ani kwa Kitamil zachapishwa nchini Malaysia

Nakala 20,000 za Tafsiri ya Qur’ani kwa Kitamil zachapishwa nchini Malaysia

IQNA – Malaysia imeanza kuchapisha nakala 20,000 za Qur’an Tukufu zikiwa na tarjuma ya Kitamil.
14:55 , 2025 Dec 20
Filamu ya Akili Mnemba (AI) Yaeleza Maisha ya Qari Abdul Basit

Filamu ya Akili Mnemba (AI) Yaeleza Maisha ya Qari Abdul Basit

IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu nchini Misri limezindua filamu fupi inayoelezea maisha ya marehemu qari Abdul Basit Abdulsamad, kwa kutumia teknolojia ya akili bandia kuonesha hatua muhimu tangu kuzaliwa kwake hadi kufariki.
14:48 , 2025 Dec 20
Usajili wa Mashindano ya Qur’an Nchini Misri Waaanza

Usajili wa Mashindano ya Qur’an Nchini Misri Waaanza

Mashindano haya yatafanyika katika kipengele cha kuhifadhi Qur’an kwa wanafunzi wa kiume na wa kike kutoka vituo vya mafunzo ya kuhifadhi Qur’an kote Misri.
14:07 , 2025 Dec 20
1