IQNA

Shule ya Qur'ani ya Novi Pazar: Kituo cha Kufufua Utambulisho wa Kiislamu nchini Serbia

Shule ya Qur'ani ya Novi Pazar: Kituo cha Kufufua Utambulisho wa Kiislamu nchini Serbia

IQNA – Shule ya Qur'ani ya Novi Pazar nchini Serbia ni miongoni mwa vituo muhimu zaidi vya elimu ya Qur'ani katika eneo la Balkan, ikijitahidi kufufua utambulisho wa Kiislamu miongoni mwa Waislamu wa eneo hilo na kuwafundisha Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri yake kwa wenye nia.
07:39 , 2025 Aug 02
Washindi wa Mashindano ya Qur’anI ya Mkoa wa Tehran waenziwa

Washindi wa Mashindano ya Qur’anI ya Mkoa wa Tehran waenziwa

IQNA – Washindi wa upande wa wanaume katika awamu ya kimkoa ya Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran, yaliyofanyika Tehran, wametangazwa rasmi katika hafla ya kufunga mashindano hayo na kukabidhiwa vyeti vya heshima pamoja na zawadi za fedha.
14:45 , 2025 Aug 01
Qatar yazindua programu ya ya Maendeleo ya Vijana Kupitia Qur’ani

Qatar yazindua programu ya ya Maendeleo ya Vijana Kupitia Qur’ani

IQNA – Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar inaendesha darasa maalum la kiangazi la Qur’ani Tukufu kwa lengo la kuimarisha uwezo wa kuhifadhi na kusoma Qur’ani miongoni mwa wanafunzi.
14:41 , 2025 Aug 01
Jumuiya ya Kiislamu yapongeza uamuzi wa Kanada kutambua Taifa la Palestina

Jumuiya ya Kiislamu yapongeza uamuzi wa Kanada kutambua Taifa la Palestina

IQNA – Baraza Kuu la Waislamu wa Kanada (NCCM) limekaribisha kwa mikono miwili uamuzi wa serikali ya Ottawa wa kulitambua rasmi Taifa la Palestina mwezi Septemba, likiitaja hatua hiyo kuwa ya kihistoria na muhimu katika safari ya haki.
14:35 , 2025 Aug 01
Tarjuma ya Qur’an kwa Kiyoruba na Kiingereza Yazinduliwa Nigeria

Tarjuma ya Qur’an kwa Kiyoruba na Kiingereza Yazinduliwa Nigeria

IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Kiislamu kutoka Nigeria amezindua mradi wa kipekee wa tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lengo la kuwafikishia ujumbe wa Allah kwa jamii zinazozungumza Kiyoruba duniani kote.
14:30 , 2025 Aug 01
Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani nchini Ufaransa

Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani nchini Ufaransa

IQNA – Mwanaume mwenye umri wa miaka 27 nchini Ufaransa amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani kwa kitendo cha kuvunjia heshima Qur'ani, Kitabu Kitakatifu cha Uislamu.
14:25 , 2025 Aug 01
Kiongozi wa Hizbullah: Tawala za Israel na Marekani zinatenda jinai Gaza

Kiongozi wa Hizbullah: Tawala za Israel na Marekani zinatenda jinai Gaza

IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon, amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani wanatekeleza jinai za kila siku, zilizo na mpangilio mahsusi, katika Ukanda wa Gaza.
12:54 , 2025 Jul 31
Wanaharakati maarufu wa Qur’ani kutoka Iran wawaomba Maqari wa Misri wasaidie watu wa Gaza

Wanaharakati maarufu wa Qur’ani kutoka Iran wawaomba Maqari wa Misri wasaidie watu wa Gaza

IQNA – Kundi la walimu na maqarii mashuhuri wa Qur’ani kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeandika barua ya wazi kwa maqari wa Misri, likiwataka wachukue msimamo dhabiti dhidi ya ukatili wa utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusimama pamoja na watu wanyonge wa eneo hilo.
17:49 , 2025 Jul 30
Iraq iko tayari kuwakaribisha wafanyaziyara wa kigeni wa Arbaeen

Iraq iko tayari kuwakaribisha wafanyaziyara wa kigeni wa Arbaeen

IQNA – Shirika la Mikingo ya Mpaka ya Iraq limetangaza kuwa liko tayari kikamilifu kuwapokea wafanyaziyara wa Arbaeen kutoka mataifa ya kigeni.
17:38 , 2025 Jul 30
Wanawake wa Kiislamu wabeba mzigo wa chuki dhidi ya Uislamu nchini Australia

Wanawake wa Kiislamu wabeba mzigo wa chuki dhidi ya Uislamu nchini Australia

IQNA-Australia imeingia katika kipindi kigumu cha chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), hali iliyoibuka kwa kasi tangu kuanza kwa vita vya kikatili vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza.
11:37 , 2025 Jul 30
Shule za Kuhifadhi Qur’ani kutoa mafunzo kwa wahifadhi Milioni 10 wa Qur’ani Iran

Shule za Kuhifadhi Qur’ani kutoa mafunzo kwa wahifadhi Milioni 10 wa Qur’ani Iran

IQNA – Afisa mmoja kutoka Wizara ya Elimu ya Iran amesema kuwa shule 1,200 za kuhifadhi Qur’ani zinapangwa kuzinduliwa nchini ili kusaidia mpango wa kuwafundisha wahifadhi milioni 10 wa Qur’ani.
11:16 , 2025 Jul 30
CAIR: Kuua watu katika nyumba ya ibada ni uovu wa hali ya juu

CAIR: Kuua watu katika nyumba ya ibada ni uovu wa hali ya juu

IQNA – Kundi moja la kutetea haki za binadamu nchini Marekani limelaani shambulio la kikatili lililotokea hivi karibuni dhidi ya kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
10:54 , 2025 Jul 30
Kiongozi wa Mapinduzi: Vita ya Siku 12 vilionesha uwezo wa Iran

Kiongozi wa Mapinduzi: Vita ya Siku 12 vilionesha uwezo wa Iran

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatعllah Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa vita vya siku 12 vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran vimeonesha kwa dhahiri uimara wa kipekee wa Jamhuri ya Kiislamu pamoja na dhamira thabiti na uwezo wake mkubwa.
21:29 , 2025 Jul 29
Mufti wa Al-Quds azuiwa kuingia Msikiti wa Al-Aqsa baada ya hotuba kuhusu njaa Gaza

Mufti wa Al-Quds azuiwa kuingia Msikiti wa Al-Aqsa baada ya hotuba kuhusu njaa Gaza

IQNA-Sheikh Muhammad Ahmad Hussein, Mufti Mkuu wa Al-Quds, amepigwa marufuku na utawala dhalimu wa Israel kuingia Msikiti wa Al-Aqsa ulio mjini Quds (Jerusalem) kwa muda wa wiki moja, marufuku ambayo inaweza kuongezwa
17:58 , 2025 Jul 28
Waombolezaji wa Bani Amer waingia Karbala kabla ya Arbaeen

Waombolezaji wa Bani Amer waingia Karbala kabla ya Arbaeen

IQNA-Kundi la maombolezo la Bani Amer, mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya waombolezaji nchini Iraq, limeanza matembezi yake ya kiroho kutoka Basra kuelekea Karbala, likiwa limevalia mavazi meupe ya kitamaduni, kwa ajili Arbaeen ya mwaka huu.
17:52 , 2025 Jul 28
5