IQNA

Msikiti wa Bucharest: Urithi wa uvumilivu na maisha ya pamoja

Msikiti wa Bucharest: Urithi wa uvumilivu na maisha ya pamoja

IQNA – Msikiti wa Hunkar uliopo Bucharest, mji mkuu wa Romania, unasimama kama alama ya jadi ya nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Ulaya katika kuenzi uvumilivu wa kidini na maisha ya pamoja kwa amani.
15:38 , 2025 Dec 16
Mjumuiko kijijini Misri kuwatunuku wahifadhi wa Qur’ani

Mjumuiko kijijini Misri kuwatunuku wahifadhi wa Qur’ani

IQNA – Shule ya kuhifadhi Qur’ani ya “Ibad al-Rahman” iliyopo kijiji cha Atu, karibu na mji wa Bani Mazar katika mkoa wa Minya kaskazini mwa Misri, iliandaa mjumuiko maalumu kwa ajili ya kuwasherehekea wahifadhi wa Qur’ani wa kijiji hicho.
15:30 , 2025 Dec 16
Hafidh wa Qur’ani kutoka Hamedan kuwakilisha Iran Mashindano ya Bangladesh

Hafidh wa Qur’ani kutoka Hamedan kuwakilisha Iran Mashindano ya Bangladesh

IQNA – Mehdi Barandeh, mmoja wa wawakilishi wa Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani nchini Bangladesh, anatarajiwa kuondoka kuelekea nchi hiyo ya Asia Kusini mwishoni mwa wiki hii.
15:17 , 2025 Dec 16
Makumbusho ya Sanaa ya Iran: Jumba la Marmar la Tehran kwa Picha

Makumbusho ya Sanaa ya Iran: Jumba la Marmar la Tehran kwa Picha

IQNA – Jumba la Marmar ni miongoni mwa majengo ya kihistoria yenye haiba na utukufu mkubwa jijini Tehran, likisimama kama ushahidi wa ustaarabu na usanifu wa kifalme wa karne zilizopita.
14:27 , 2025 Dec 16
Wanazuoni wa Kishia na Kisunni wa Georgia Wafanya Ziara ya Umoja katika Haram ya Imam Ridha (AS)

Wanazuoni wa Kishia na Kisunni wa Georgia Wafanya Ziara ya Umoja katika Haram ya Imam Ridha (AS)

IQNA – Ujumbe wa ngazi ya juu wanazuoni wa Kiislamu kutoka Georgia umezuru Haram ya Imam Ridha (AS) jini Mashhad, Iran, ambapo wamekutana na maafisa wa Astan Quds Razavi (AQR), taasisi inayosimamia haram hiyo tukufu.
20:49 , 2025 Dec 15
Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Iran: Raundi ya Awali Yaendelea

Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Iran: Raundi ya Awali Yaendelea

IQNA – Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanaendelea katika raundi ya awali, ambayo mwaka huu yanafanyika kwa njia ya mtandaoni.
20:42 , 2025 Dec 15
Msimu wa Pili wa Mashindano ya Qur’ani kwa Vijana Bangladesh Wapangwa kwa Mwezi wa Ramadhani

Msimu wa Pili wa Mashindano ya Qur’ani kwa Vijana Bangladesh Wapangwa kwa Mwezi wa Ramadhani

IQNA – Kampuni ya TK Group, mojawapo ya makampuni makubwa nchini Bangladesh, imetangaza mipango ya kuandaa msimu wa pili wa mashindano ya usomaji wa Qur’ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
20:38 , 2025 Dec 15
Watoto wa mashahidi wa Gaza waheshimiwa kwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu

Watoto wa mashahidi wa Gaza waheshimiwa kwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu

IQNA – Watoto arobaini na wanne wa mashahidi ambao wamehifadhi Qur’ani Tukufu wameheshimiwa katika hafla maalumu huko Gaza.
20:35 , 2025 Dec 15
Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa afariki dunia

Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa afariki dunia

IQNA – Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa katika al‑Quds (Jerusalem) ameaga dunia baada ya maisha marefu ya ibada katika Qibla cha kwanza cha Waislamu.
19:18 , 2025 Dec 14
Makundi ya haki za binadamu, wakazi walaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Texas

Makundi ya haki za binadamu, wakazi walaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Texas

IQNA – Kitendo cha kudhalilisha na kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu kilichotokea mjini Plano, jimbo la Texas, Marekani, kimezua hasira kubwa miongoni mwa wananchi na mashirika ya haki za binadamu.
19:14 , 2025 Dec 14
I.M.A.M.: Muhtasari wa Taasisi ya Waislamu wa Kishia Amerika Kaskazini

I.M.A.M.: Muhtasari wa Taasisi ya Waislamu wa Kishia Amerika Kaskazini

IQNA – Katika jiji la Dearborn, Michigan, kuna taasisi ya Kishia iliyodumu kwa miaka mingi, ikifanya kazi kimya kimya bila makuu, lakini ikiwa na athari kubwa katika jamii.
19:10 , 2025 Dec 14
Sheikh Abdul Wahid Radhi: Qari Mashuhuri wa Misri aliyetambulika kwa unyenyekevu katika qiraa

Sheikh Abdul Wahid Radhi: Qari Mashuhuri wa Misri aliyetambulika kwa unyenyekevu katika qiraa

IQNA – Marehemu Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi alikuwa miongoni mwa magwiji wa usomaji wa Qur’ani nchini Misri, akijulikana kwa unyenyekevu wake katika tilawa, uzuri wa makam na sauti yenye utulivu na mvuto wa kiroho.
19:03 , 2025 Dec 14
Marufuku ya Hijabu kwa wasichana wadogo Austria yazua lawama za chuki dhidi ya Uislamu

Marufuku ya Hijabu kwa wasichana wadogo Austria yazua lawama za chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Sheria mpya inayowazuia wasichana walio chini ya miaka 14 kuvaa hijabu katika shule za Austria imeibua upinzani mkali, huku makundi ya kutetea haki za binadamu yakishutumu serikali kwa kuwadhalilisha Waislamu na kuingilia uhuru wa imani binafsi.
16:41 , 2025 Dec 13
Mwandishi Mkristo: Bibi Zahra (SA) Ni Kielelezo Kamili cha Fadhila

Mwandishi Mkristo: Bibi Zahra (SA) Ni Kielelezo Kamili cha Fadhila

IQNA – Mwandishi Mkristo kutoka Lebanon amemwelezea Bibi Fatima Zahra (SA) kuwa kielelezo kamili cha fadhila, akisema kuwa yeye ndiye nguzo ya imani na heshima ya mwanamke.
16:35 , 2025 Dec 13
Mashindano ya 26 ya Qur’ani ya Sheikha Hind bint Maktoum Yakamilika

Mashindano ya 26 ya Qur’ani ya Sheikha Hind bint Maktoum Yakamilika

IQNA- Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai (DIHQA) imetangaza kukamilika kwa Mashindano ya 26 ya Qur’ani ya Sheikha Hind bint Maktoum.
16:27 , 2025 Dec 13
3